Endesha na safiri kwa kutumia inDrive. Wewe ndio unapanga bei!

Pakua app
Hero screen image
FAQ

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Ninawezaje kupakua app ya inDrive nchini Tanzania?

Unaweza kupakua app kupitia Google Play au APK kutoka kwenye tovuti yetu.

Je, app hiyo inapatikana bila malipo?

Ndiyo, unaweza kupakua na kutumia app bila malipo.

Je, ninaweza kutumia app hiyo hiyo kwa safari, usafirishaji na kuendesha?

Ndiyo! App rasmi ya inDrive nchini Tanzania inakupatia uwezo wa kuitisha usafiri, kufikisha vifurushi na kuitumia kama dereva — yote kupitia app moja.

Pakua app ya inDrive!

indrive logo
App ya inDrive
starstarstarstarstar4.7/5
Pakua kupitia Google Play
download google play
safety
person