Endesha nasi upendavyo wewe
Jiunge kama dereva. Jaza maelezo yako au upakue app
Kwa kutuma ombi lako unakubali Sera yetu ya Faragha, unakubali kupokea matangazo kutoka inDrive kwa njia ya SMS na simu pamoja na kukubali kuzungumza nasi kupitia WhatsApp
Kwa nini madereva wanatuchagua
Uwezo wa kudhibiti bei
Pendekeza bei yako ikiwa hautapendezwa na nauli aliyoipendekeza abiria
Uwezo wa kuona njia
Angalia njia utakayopita kabla ya kukubali safari
Uhuru wa kuchagua
Ruka maombi yoyote ya safari usiyopendezwa nayo, bila kupewa adhabu. Furahia uhuru wa ratiba ya kazi unayoweza kuibadilisha upendavyo
Usalama na usaidizi
Usaidizi unaopatikana muda wote ndani ya app, pamoja na vipengele vya usalama na simu za dharura wakati wa safari
Maswali yanayoulizwa sana
Nimebadilisha nambari yangu ya simu, sasa siwezi kuingia kwenye akaunti yangu
Wasiliana nasi kupitia app au tutumie barua pepe kwenda support@indrive.com, utueleze tatizo ni nini kisha utupatie nambari ya simu ya zamani uliyoiunganisha kwenye akaunti yako ya inDrive.
Ninawezaje kubadilisha picha yangu ya wasifu kwenye inDrive?
Tutumie ombi pamoja na picha hiyo mpya kwenda support@indrive.com ikiwa na akaunti binafsi na jina lako.
Ninawezaje kufuta akaunti yangu ya inDrive?
Tuma ombi lililoskaniwa la kufuta akaunti kwenda support@indrive.com. Ikiwa una salio kwenye akaunti yako binafsi ambalo halijatumika, basi utahitajika kuambatisha ombi lililoskaniwa la kurudishiwa pesa iliyosalia pamoja na taarifa zako za benki.