Jiunge na safari nafuu kwa wote Ambayo watu kwa pamoja hukubaliana juu ya bei za safari
Pakua app
Njia ya haki zaidi ya kufanya biashara ni jambo ambalo sote tunaweza kukubaliana
Pakua app
Njia ya haki zaidi ya kufanya biashara ni jambo ambalo sote tunaweza kukubaliana
Pakua app
Tunapambana na udhalimu na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii zote
Pakua appKupambana na udhalimu ili kuufanya ulimwengu kuwa mahali pa haki zaidi kwa watu bilioni moja
- 888miji
- 48nchi
- 280app imepakuliwa mara milioni
App moja, huduma lukuki
Safari za mijini
Chagua safari yako, jipatie ofa nafuu kwa wote
- Abiria
- Madereva
Mji hadi Mji
Safari za raha mustarehe kwenda miji mingine: kwa muda utakao na kwa nauli nafuu
- Abiria
- Madereva
Usafirishaji wa vifurushi
Usafirishaji wa haraka wa vifurushi kwa watu binafsi na biashara
- Wateja
- Wasafirishaji
- Kwa biashara
Maadili yanayotuongoza
Watu

Watu
Tunatoa nafasi kwa kila mtu ili kujenga uaminifu na usaidizi Tunafanya juhudi endelevu za kujiendeleza wenyewe, jamii zetu na dunia kwa ujumla, kuangazia sifa zetu zenye manufaa na kusherehekea mafanikio Tunatoa na kupokea maoni kwa uangalifu, heshima na uwazi

Kusudi

Kusudi
Tumejikita kwa 100% kwenye dhamira na maono yetu kwa kuunganisha malengo yetu na shughuli zetu za kila siku Tunakuza mabadiliko chanya na kuhamasisha watu kupitia mfano tunaoonyesha Tunachochea matokeo chanya kwa ukuaji wa kibiashara na kutumia ukuaji huo kuongeza matokeo chanya

Utendaji

Utendaji
Tuna shabaha kubwa hivyo tunatafuta njia bora zaidi za kufikia malengo yetu Tunatekeleza mambo kwa haraka na kwa ubunifu, tukitumia nidhamu katika michakato yetu Mara nyingi huwa tunafanikiwa au tunapata fundisho na kuboresha maamuzi yetu kwa data

Usalama wako ndio kipaumbele chetu
Baki ukiwa salama ukitumia inDrive

Tunataka sote tuwe na uelewa sawa kuhusu suala la usalama
Uboreshaji wa jamii: kuleta mabadiliko
Ili kuongeza matokeo chanya tunayoleta katika jamii, tumeunda kitengo kiitwacho inVision
nchi
miradi
tuzo za kimataifa

Mradi unaowahamasisha vijana kuwa viongozi watakaoleta mabadiliko na kujenga ulimwengu endelevu, shirikishi na wa haki zaidi

Providing free, problem-based undergraduate education to students from all socio-economic backgrounds, inVision U educates founders, the future social and entrepreneurial leaders of Central Asia

Tuzo kwa wanawake waanzilishi wa kampuni changa za TEHAMA waliopelekea mabadiliko makubwa ya kimaendeleo.

Tuzo ya kimataifa kwa waanzilishi bora wa kampuni za teknolojia nje ya maeneo makubwa ya teknolojia au jumuiya za kampuni changa

Mradi wa kimataifa unaojumuisha tuzo za filamu na maabara za mafunzo zinazolenga kusaidia watengenezaji filamu kutoka tasnia za filamu zinazochipukia

Mradi usio na lengo la kuzalisha faida unaotoa mafunzo ya soka bila malipo kwa watoto waliopo katika miji midogo na maeneo yasiyofikika kwa urahisi

Kuwezesha tasnia ya mbio za riadha kufanya matukio ya riadha yaliyorafiki na yanayojumuisha kila mtu
Yanayoendelea inDrive
From Underdog to Global Company
Historia halisi ya kampuni ya teknolojia isiyo na kifani ambayo ni inDrive, kama ilivyosimuliwa na Mkurugenzi Mtendaji wake