Endesha upendavyo wewe
na jipatie kipato zaidi kupitia
huduma zetu zote!
Kwanini madereva wanatuchagua
Uwezo wa kudhibiti bei
Pendekeza bei yako ikiwa hautapendezwa na nauli aliyoipendekeza abiria
Uwezo wa kuona njia
Angalia njia utakayopita kabla ya kukubali safari
Uhuru wa kuchagua
Ruka maombi yoyote ya safari usiyopendezwa nayo, bila kupewa adhabu. Furahia uhuru wa ratiba ya kazi unayoweza kuibadilisha upendavyo
Usalama na usaidizi
Usaidizi unaopatikana saa 24 ndani ya app, pamoja na vipengele vya usalama na simu za dharura wakati wa safari
Jinsi ya kupata pesa kupitia inDrive
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Nimebadilisha nambari yangu ya simu na sasa siwezi kuingia kwenye akaunti yangu
Wasiliana nasi kupitia app au ututumie barua pepe kwenda support@indrive.com, ukitueleza tatizo kisha utupatie nambari ya simu ya zamani uliyoiunganisha kwenye akaunti yako ya inDrive.
Ninawezaje kubadilisha picha yangu ya wasifu kwenye inDrive?
Tutumie ombi pamoja na picha mpya kwenda support@indrive.com ikiwa na akaunti yako binafsi na jina lako.
Ninawezaje kufuta akaunti yangu ya inDrive?
Tutumie ombi lililoskaniwa la kufuta akaunti kwenda support@indrive.com. Ikiwa una salio kwenye akaunti yako binafsi ambalo halijatumika, basi utahitajika kuambatisha ombi lililoskaniwa la kurudishiwa pesa iliyosalia pamoja na taarifa zako za benki kwenye barua hiyo.