taxi driver
Huduma zote za inDrive

App moja kwa ajili ya huduma zote nafuu

Anza

Jinsi ya kuanza

safetyperson
  • 1
    Pakua app ya inDrive

    Andika nambari yako ya simu kisha uithibitishe kwa kutumia msimbo.

  • 2
    Chagua huduma

    Chagua mji wako kutoka kwenye menyu ya pembeni kisha uchague huduma unayopendelea kutumia kwenye skrini kuu.

  • 3
    Pendekeza bei yako

    Dereva, msafirishaji au mtaalamu wako anaweza kukubali bei yako au kupendekeza yake.

  • 4
    Chagua ofa iliyo bora zaidi

    Teua kulingana na bei, ukadiriaji na maoni.

Pakua app

From Underdog to Global Company

Historia halisi ya kampuni ya teknolojia isiyo na kifani ambayo ni inDrive, kama ilivyosimuliwa na Mkurugenzi Mtendaji wake

background with bookbackground with bookcurve